Dem wa Facebook amesema kuwa kauli ya kababa yake Sandra Kahush inayoendelea kuvutia wengi katika mtandao wa tiktok ni ya wanaume wenye pesa.
"Kababa ni ya watu wenye wako na Range Rover na wako na pesa. Si kila mtu aitwe kababa. Wewe unanitumia ujumbe hapa eti kuwa kama Sandra Kahush niite kababa, wewe unaitwa tu kwa jina lako la kitambulisho,” Dem wa Facebook alisema.